Yesu Kimbilio Hajawahi Kuniacha Lyrics

Yesu Kimbilio Hajawahi Kuniacha Lyrics By Patrick Kubuya. Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha (Jesus is the Refuge, he has never left me) Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha (Jesus is my Rock, my hiding place) Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha (He is the Refuge, he has never left me).

Yesu Kimbilio Hajawahi Kuniacha Lyrics

Moyo wangu, usilie tena (My heart, do not cry no more)
Moyo wangu, usibabaike (My heart, do not worry)
Unaye Mungu, mkuu sana (For you have a Mighty God)
Unaye Mungu, muweza wa yote (You have an Omnipotent God)

Aliingia moyoni mwangu (He came into my heart)
Kanipa kutulia (And gave me peace)
Kaniambia “ewe mwanangu (He told me “My child)
Usilie lie tena (do not cry any more)
Ninajua shida zako (For I know your troubles)
Mimi nitazitatua” (and I will solve them”)
Bila Yesu, mimi ni mtu bure (Without Jesus, I am nothing)
Bila Yesu, mimi ni mtu bure (Without Jesus, I am nothing)

Kati giza, Yesu ni mwanga (In darkness, Jesus is the Light)
Kati huzuni, Yesu ni mfariji (In sadness, Jesus is the Comforter)
Kati vita, Yesu mwamba (In battle, Jesus is the Refuge)
Katika njaa, Yesu ndiye mkate (In famine, Jesus is the Bread of life)
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha (Jesus is the Refuge, he has never left me)
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha (Jesus is my Rock, my hiding place)
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha (He is the Refuge, he has never left me)
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha (Jesus is my Rock, my hiding place)
Anajua shida zangu, Yeye atazitatua (He knows my troubles, he will solve them)
Bila Yesu, mimi ni mtu bure (For without Jesus, I am nothing)
Bila Yesu, mimi ni mtu bure (Without Jesus, I am nothing)

Ndani ya Kristo ninaweka tumaini langu (I have placed my hope in Christ)
Sijui bila wewe Bwana wangu(Without You my Lord)
Ningekuwa wapi (Where would I be?)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (Oh Lord, You are everything to me)x?

Eh Yahweh, we ni yote kwangu (Oh Lord, You are everything to me)
Eh Yahweh, ningekuwa wapi? (Oh Lord, where would I be?)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (Oh Lord, You are everything to me)
Eh Yahweh, ningekuwa wapi? (Oh Lord, where would I be?) (Repeat)

Magic City Cowboy Lyrics