home English Song Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics

Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics

Share This Post

Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics. Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema Eeh Bwana katika miungu yote Ni nani aliye kama wewe Mtukufu katika utakatifu Mwenye Kuogopwa katika sifa.

Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema
Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema

Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema

Eeh Bwana katika miungu yote
Ni nani aliye kama wewe
Mtukufu katika utakatifu
Mwenye Kuogopwa katika sifa

Uliyevuma kwa upepo wako
Bahari ikafunikiza adui
Wakazama kama risasi
Risasi ndani ya maji makuu

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema

Wowowowo!
Wowo!
Wowo!
Wowo!

Know You Love Me Girl Bts Lyrics


Share This Post