Tumeuona Mkono Wako Bwana Lyrics

Tumeuona Mkono Wako Bwana Lyrics By Zabron Singers. Tumeuona mkono wake bwana Mengi mazuri tumeyaona, Mungu umetenda Ni kweli we muweza Ulitamka vitu vikawa Neno tu latosha Ukisema umetenda Bahari shamu Isiraeli Ah uliwavusha Ukawatoa utumwani.

Tumeuona Mkono Wako Bwana Lyrics

Mmmmmmm ah ah ah ah
Tumeuona mkono wake bwana

Mengi mazuri tumeyaona,
Mungu umetenda
Ni kweli we muweza

Ulitamka vitu vikawa
Neno tu latosha
Ukisema umetenda

Bahari shamu Isiraeli
Ah uliwavusha
Ukawatoa utumwani

Watumishi wako umewapa
Yote waombayo
Ikiwa umependezwa

Uamulo hakuna wa kulipinga
Hakika we ni Mungu, wa vyote
Unatawala dunia na vilivyomo
Makuu umeyatenda, Jehova

Hakika tumeona
Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno

Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
(Chini, chini, chini)

Chini hata juu
Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
(Natutakusifu)
Twasifu jina lako,
Milele tutakusifu (ooh kweli)
Daima we umwema tutaishi kwako
(Forever You are Good, we shall dwell with You)

Tumeuona, mkono wako Bwana (Lord we have seen Your hand)
Matendo yako Bwana ni makuu mno (Your work are great)
Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono (You have brought us from far, holding our hands)
Mahali uliona pekee hatuwezi (Where You saw we couldn’t by ourselves)
Chini hata juu,
Watu unawainua (From the lowest to the highest, You lift people)
Sifa na utukufu ni zako milele
(Praise and Glory belong to You forever)
Twasifu jina lako,
Milele tutakusifu (We will praise Your name forever)
Daima we umwema tutaishi kwako
(Forever You are Good, we shall dwell with You)

Ona (Witness)

Msalabani ulitufia,
Hm ulitupenda (You died on the cross, for You loved us)
Dhambi zetu ukabeba (You carried our sins)
Baraka zako tuliziomba kweli tumeona
(The blessings we prayed for, we have seen)
Hakika unabariki (Truly You bless)
Oh hata vipaji we ndo hutoa
Umetuwezesha (You are the one who give talents)
Tunaimba na kusifu (We sing and praise)
Walio haki hutowaacha,
Uliwaahidi (You promise not to leave the righteous)
Hata mwisho wa dahari (Even until the end of the world)

Hm watu wako umewapa mamlaka (You have given Your people authority)
Kwa jina lako Yesu (In Your Name, Jesus)
Waponye (To heal)
Na huna ubaguzi (You do not discriminate)
Wote ni sawa kwako (All are equal before You)
Umetuita Yesu, tupone (You have called us Jesus, to heal)

Tumeuona, mkono wako Bwana (Lord we have seen Your hand)
Matendo yako Bwana ni makuu mno (Your work are great)
Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono (You have brought us from far, holding our hands)
Mahali uliona pekee hatuwezi (Where You saw we couldn’t by ourselves)
Chini hata juu,
Watu unawainua (From the lowest to the highest, You lift people)
Sifa na utukufu ni zako milele
(Praise and Glory belong to You forever)
Twasifu jina lako,
Milele tutakusifu (We will praise Your name forever)
Daima we umwema tutaishi kwako
(Forever You are Good, we shall dwell with You)

Tumeuona, mkono wako Bwana (Lord we have seen Your hand)
Matendo yako Bwana ni makuu mno (Your work are great)
Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono (You have brought us from far, holding our hands)
Mahali uliona pekee hatuwezi (Where You saw we couldn’t by ourselves)
Chini hata juu,
Watu unawainua (From the lowest to the highest, You lift people)
Sifa na utukufu ni zako milele
(Praise and Glory belong to You forever)
Twasifu jina lako,
Milele tutakusifu (We will praise Your name forever)
Daima we umwema tutaishi kwako
(Forever You are Good, we shall dwell with You)

Ona (Witness)
Daima we umwema tutaishi kwako (Forever we shall dwell with You)

Ona (Witness)
Daima we umwema tutaishi kwako (Forever we shall dwell with You)

Ona (Witness)
Daima we umwema tutaishi kwako (Forever we shall dwell with You)

https://www.youtube.com/watch?v=Sb0rV9KcjOs

Since We Came From A Woman Lyrics