Chanzo Cha Uhai Wangu Lyrics

Chanzo Cha Uhai Wangu Lyrics. Nakuabudu Nakuabudu Wewe ni chanzo cha uhai wangu Nakuabudu Nakuabudu Wewe ni chanzo cha uhai wangu Nakuinua Nakuinua Wewe ni chanzo cha uhai wangu.

Chanzo Cha Uhai Wangu Lyrics

Ooh oh ooh

Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu

Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu

Ninajua udhaifu na kuwa na afya
Katika yote wewe Bado Mungu

Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
(ooh Yesu Yesu)
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua Nakuinua
Wewe ni chanzo cha uhai wangu

Only Its U Got Me Feeling Like This Lyrics